Kisungule

Warning

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 581

Kisungule

 Size : 1,345 sq. Km 

Region / District : Namtumbo-Ruvuma

Eneo la Jumuiya hii ni sehemu kubwa ulimwenguni lililohifadhiwa la misitu ya miyombo. Vilevile eneo hili la hifadhi ya Jumuiya ya Kisungule ni sehemu ya mapitio ya wanyama(ushoroba) wanapohama kutoka Seluos upande wa Tanzania kwenda Niassa nchini Msumbiji na kurudi.

Eneo la Jumuiya hii ni sehemu kubwa ulimwenguni lililohifadhiwa la misitu ya miyombo.  Vilevile eneo hili la hifadhi ya Jumuiya ya Kisungule ni sehemu ya mapitio ya wanyama(ushoroba) wanapohama kutoka Seluos upande wa Tanzania kwenda Niassa nchini Msumbiji na kurudi.  Eneo hili linautajiri mkubwa wa bainowai ikiwa na jamii kubwa ya mimea na wanyama.  Rekodi zinaonyesha eneo hili lina takribani aina 500 ya jamii mbalimbali za ndege (Stronach 2003).  Mlima Changalanga ni mrefu sana ukiwa juu unaona eneo lote la hifadhi, ambamo wanapatikana Kakakuona.  Vile vile kuna bwana Misakala ambamo wanapatikana BokoEneo hili linaupatikanaji mkubwa wa madini-chumvi na maji kama vitu muhimu sana kwa wanyamapori na hili linafanya eneo hili livute wanyama wengi wa aina mbalimbali ambao hupumzika na kuzaliana na hii inalifanya liwe na sifa kubwa ya uhifadhi.

Investments Opportunities

Bee Keeping | Canoeing | Fishing | Photographic Safaris | Tourist Hunting |


LOCATION

 


Physical Address

Kisungule ipo katika Kata ya Magazini, Tarafa ya Sasawala, Wilaya ya Namtumbo katika Mkoa wa Ruvuma. Ifadhi hii kwa upande wa Kaskazini imepakana na Jumuiya ya Nalika, upande wa Mashariki ni Msitu wa Sasawala, upande wa Magharibi ni Hifadhi ya Jumuiya ya Kimbanda na hifadhi ya Wanyamapori Niassa(Msumbiji), upande wa Kusini ni hifadhi ya Niassa (Msumbiji) na mto Ruvuma.

Jumuiya ya Jamii ya Kisungule

Kisungule AA

Kata ya Magazani

S.L.P 24 

Namtumbo

 

 

CONTACT WITH US

+255 22 2668615

info@twma.co.tz